Wenye ID mbaya tuwekeni picha zetu hatupendi ujinga!!

Kama ni handsome namna hii kwanini mnatumia avatar zilizo mbaya!
 
*ukimuuliza sister du wa kileo hii sifa za mwanaume anaemtaka..utasikia "OMG napenda mwanaume mrefu,awe na gent look na cash kwa mbali"...wakati kenyewe kafupi kama mpapai wa kisasa...sura chachu kama emoji ya ukwaju...pumbavu umeckia mwanaume mrefu yeye anapenda mwanamke mfupi...deal na size yako*
~wanaume si watu wa mchezo mchezo bwana~
Hawapendi ujinga kabisaa
 
Ndio hao wanataka mwanaume mwenye vogue waqt kwao mtu wa mwisho kumiliki chombo cha usafiri alikuwa marehemu babu yake alikuwa na baiskeli (swala )
 
Hahahahaaa hatupend ujinga ss watu na avatar zetu za kwel wanajifanya hawatupend akati wengi wao wamajiwekea pumz za wachina makalioni wanajkuta wanamashepu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…