Wenye Imani zenu za kiafrika naomba mje munijibu hapa...

Joined
Sep 13, 2024
Posts
58
Reaction score
88
Niende moja Kwa moja kwenye maada,Kwa mujibu wa waamini wa bibilia na Quran ni kuwa binaadam ameumbwa na mungu

Sasa naomba kujua Kwa mujibu wa miungu ya kiafrica binaadam alitokea wapi? Au alizuka tu kama uyoga!
Nimeuliza Ili kujifunza na sio kubishana nawasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…