Wenye Jukwaa Nimeingia mnikaribishe

Joined
Apr 9, 2013
Posts
21
Reaction score
4
Nafurahi kujiunga na forum. natumai mtanikaribisha Kwa upendo wa kijamii na sio wa kisiasa. Sote ni wamoja pamoja na kuwa na tofauti za kisiasa.
 
Karibu sana ndugu. Shida yenu mkishakua wenyeji hamshikiki, kwanza we ni mwanachama gani wa chama cha siasa. Jb tafadhali
 
Karibu new member...usikose kutembelea jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi, na Urafiki) ;-)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…