Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
Mkuu mie pia nimejikuta naiwaza hiyo.ZBC 2 WATARUSHA HIVYO ONDOENI HOFU
Rahaya mpira wait wengiHata uwe na ving'amuzi vyote lkn Bar na Vibanda umiza hakukwepeki
mwaka juzi walinifanyia kitumbaya ....walikuwa wana block channel zilizokuwa zinarusha michuano ya kombe la africa....!but nina imani lazma kutakua na channel ndani ya azam wataonwmesha
Azam waovwanarusha chereko na harusi tuZimebaki siku chache kuanza kombe la dunia 2018,
startimes, dstv na econet wameshaanza matangazo ya kurusha mechi zote world cup 2018.
Je azamtv watarusha au tujiandae kwenda bar?