Habari wandugu,
Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni.
Kama kuna watu wenye kipaji cha kutengeneza matangazo kwa namna hiyo na hawajapata nafasi ya kupata kipato naomba tuwasiliane.
Simu 0776655978 au WhatsApp 0676434611