Wenye kuona mbali wameshaanza na wanaenda Kufanikiwa, ila kuna wengine hata Wazo husika tu halipo akilini mwao

Wenye kuona mbali wameshaanza na wanaenda Kufanikiwa, ila kuna wengine hata Wazo husika tu halipo akilini mwao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama Mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.

Taarifa: ITV Tanzania
 
Kijana unaota? Wakati sisi tunawaza kujitoa kwenye mamikataba yao wewe unaleta habari za kujiunga tena?[emoji1783]

Au nasema ukweli ndugu zangu?
Siku zote Wakenya hupenda sana Kuangalia mbali na ndiyo maana hata wameicha Kimaendeleo nchi moja hivi inayojivunia kuwa na eneo kubwa.
 
Mbona Tanzania imeteuliwa kuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN

Alafu sisi tumeteuliwa na wajumbe hatujapigiwa kura kama Nyie Kenya
 
Mbona Tanzania imeteuliwa kuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN

Alafu sisi tumeteuliwa na wajumbe hatujapigiwa kura kama Nyie K
Mbona umeanza Kuwashwawashwa mapema hivi Ndugu? Kuna mahala popote pale tu umeona nimeitaja Tanzania au hata tu Kuilenga yenyewe?
 
Hongereni na wengine ambao mmeamua Kujikita katika Miradi mbalimbali ya Kimuindombinu ambayo inawatia zaidi Umasikini Wananchi wenu.

Hiyo miradi Mkakati ni white elephants projects za JIWE kupiga 20% na kuzipa tenda kampuni zake behind the scene.
 
Mbona umeanza Kuwashwawashwa mapema hivi Ndugu? Kuna mahala popote pale tu umeona nimeitaja Tanzania au hata tu Kuilenga yenyewe?
Aiseee ![emoji28]
Mimi matusi ndio siwezagi
Mimi kuitaja Nchi yangu nikuwashwa sio ?

Mbona Wewe m'K umeitaja K yako na kwahivo na wewe unawasha ?
nchi moja hivi inayojivunia kuwa na Eneo Kubwa.
Tumalize mjadala bingwa hapo ulii lenga nchi gani ? itaje tuijue
 
Hiyo miradi Mkakati ni white elephants projects za JIWE kupiga 20% na kuzipa tenda kampuni zake behind the scene.
Ndugu huyu Jiwe ndiyo nani kwani Mimi ni Mgeni mno tu hapa na isitoshe nipo zangu tu huku Kwetu Pemba napara Samaki 24/7. Ni wa nchi gani?
 
Aiseee ![emoji28]
Mimi matusi ndio siwezagi
Mimi kuitaja Nchi yangu nikuwashwa sio ?

Mbona Wewe m'K umeitaja K yako na kwahivo na wewe unawasha ?
Tumalize mjadala bingwa hapo ulii lenga nchi gani ? itaje tuijue
Binafsi nilizozilenga sana katika huu Uzi wangu ni za Chechnya na Herzegovina tu ambazo bahati nzuri pia wala hazipo hapa Barani Afrika Kwetu.
 
Ni nafasi ya nzunguko nata sisi tulishakuwa .uganda nao sema kule kwenu rwanda ndio bado
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.

Taarifa: ITV Tanzania

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
But Mbona Tanzania ilikuwa mwanachama muda mrefu sana
What's the big deal?
Usitukuze ujinga wenu CCM hapa, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India.

Kenya sasa imeungana na zile nchi 5 zenye uanachama wa kudumu za USA, Urusi, Uingereza, Ufaransa na China lakini nafikiri bado kuna nafasi moja au mbili kuungana na Kenya kama hazijajazwa maana Ujerumani pia iliomba.

Tanzania mpaka Kisukuma kitambulike UN ni lini kama Mayalla (Njaa) anaendelea kukosa uteuzi? Congratulations Kenya, the pacesetter!
 
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.

Taarifa: ITV Tanzania
sijui ndo ukilaza...sielewi
 
Back
Top Bottom