MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Siku zote Wakenya hupenda sana Kuangalia mbali na ndiyo maana hata wameicha Kimaendeleo nchi moja hivi inayojivunia kuwa na eneo kubwa.Kijana unaota? Wakati sisi tunawaza kujitoa kwenye mamikataba yao wewe unaleta habari za kujiunga tena?[emoji1783]
Au nasema ukweli ndugu zangu?
Mbona umeanza Kuwashwawashwa mapema hivi Ndugu? Kuna mahala popote pale tu umeona nimeitaja Tanzania au hata tu Kuilenga yenyewe?Mbona Tanzania imeteuliwa kuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN
Alafu sisi tumeteuliwa na wajumbe hatujapigiwa kura kama Nyie K
Hongereni na wengine ambao mmeamua Kujikita katika Miradi mbalimbali ya Kimiundombinu ambayo inawatia zaidi Umasikini Wananchi wenu.Hongereni Kenya kwa kujiunga.
Hongereni na wengine ambao mmeamua Kujikita katika Miradi mbalimbali ya Kimuindombinu ambayo inawatia zaidi Umasikini Wananchi wenu.
Aiseee ![emoji28]Mbona umeanza Kuwashwawashwa mapema hivi Ndugu? Kuna mahala popote pale tu umeona nimeitaja Tanzania au hata tu Kuilenga yenyewe?
Tumalize mjadala bingwa hapo ulii lenga nchi gani ? itaje tuijuenchi moja hivi inayojivunia kuwa na Eneo Kubwa.
Ndugu huyu Jiwe ndiyo nani kwani Mimi ni Mgeni mno tu hapa na isitoshe nipo zangu tu huku Kwetu Pemba napara Samaki 24/7. Ni wa nchi gani?Hiyo miradi Mkakati ni white elephants projects za JIWE kupiga 20% na kuzipa tenda kampuni zake behind the scene.
Binafsi nilizozilenga sana katika huu Uzi wangu ni za Chechnya na Herzegovina tu ambazo bahati nzuri pia wala hazipo hapa Barani Afrika Kwetu.Aiseee ![emoji28]
Mimi matusi ndio siwezagi
Mimi kuitaja Nchi yangu nikuwashwa sio ?
Mbona Wewe m'K umeitaja K yako na kwahivo na wewe unawasha ?
Tumalize mjadala bingwa hapo ulii lenga nchi gani ? itaje tuijue
Huyu ni Rais ambaye anapendwa na kukubalika sana na Mataifa mengi Afrika, Asia hadi na Ulaya halafu nchi yake ina Maendeleo makubwa zaidi.
Kwanini hujazitaja nchi zingine zote tu zilizopo Afrika na Wewe umewashwawashwa tu Kukimbilia kuitaja Tanzania na siyo Rwanda au Uganda pia?But Mbona Tanzania ilikuwa mwanachama mda mrefu sana
What's the big deal?
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.
Taarifa: ITV Tanzania
Pemba ni Rwanda?Ni nafasi ya nzunguko nata sisi tulishakuwa .uganda nao sema kule kwenu rwanda ndio bado
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
K😂Mbona Tanzania imeteuliwa kuwa MWENYEKITI wa Kamati ya Hati za Utambulisho ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UN
Alafu sisi tumeteuliwa na wajumbe hatujapigiwa kura kama Nyie K
Usitukuze ujinga wenu CCM hapa, Tanzania wala nchi yoyote Afrika haijawahi kuingia kwenye Baraza la Usalama la UN kwa hiyo Kenya ndo ya kwanza kupata nafasi hiyo iliyogombaniwa na nchi nyingi ikiwemo India.But Mbona Tanzania ilikuwa mwanachama muda mrefu sana
What's the big deal?
sijui ndo ukilaza...sielewiKenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa mataifa ya Afrika.
Taarifa: ITV Tanzania