Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Nimepata habari kutoka kwa swahiba wangu aliye Bukoba kwambapicha za JK zilizokuwa zime4bandikwa kwenye nyumba ambazo ni maduka na sehemu nyingine za biashara zimeanza kuondolewa na wenye biashara hao kwa kukosa wateja.
Baada ya tsunami ya Dr Slaa iliyopita jana, watu waliorudi kutoka kwenye mkutano waliona wafanya biashara wenyewe wakizibandua picha hizo huku baadhi yao wakisikika wakinung'unika kwamba wanakosa biashara.