Wenye Magari Mnayajua haya? Zingatia hasa wakati huu wa safari za Likizo!!

Mkuu Chamoto asante kwa ufafanuzi.labda niongezee kidogo
kwa mfano gari yako imeandikwa utumie hiyo 20W50 bado unatakiwa ujue ni 20W50 ya grade ipi?
Mbele ya 20W50 utaona kuna maandishi mengine ambayo ni muhimu kukiindicate matumizi kwa gari ya Diesel au Petrol-kumbuka watu wengi hawajui hili kuwa kila oil itafanya kazi kwa gari zote yaani diesel na petrol ila kwa perfomance tofauti kama hizo herufi mbele ya API specification.kama dumu hilo la damu ya mzee limeandikwa 20W50 API SL/CF ikimaanisha kwa gari ya petrol itaperfom kiwango cha SL na Oil hiyohiyo ukiiweka kwenye gari ya diesel itaperform kiwango cha CF.hapo ndo kwenyekigezo muhimu na tofauti kubwa kwani zipo 20W50 zipo nyingi za madaraja au tofauti hivyo nfipo umuhimu wa kujua gari lako ni toleo la mwaka upi ili utumie 20W50 ipi kama chart inavyoelekezza hapo juu...hizi lugha za kuwa hii oil ni ya petrol na hii ni ya diesel ni lugha za kibiashara tu
 
Last edited by a moderator:

Mbele ya 20W50 utaona kuna maandishi mengine ambayo ni muhimu kukiindicate matumizi kwa gari ya Diesel au Petrol-kumbuka watu wengi hawajui hili kuwa kila oil itafanya kazi kwa gari zote yaani diesel na petrol ila kwa perfomance tofauti

kama hizo herufi mbele ya API specification.kama dumu hilo la damu ya mzee limeandikwa 20W50 API SL/CF ikimaanisha kwa gari ya petrol itaperfom kiwango cha SL na Oil hiyohiyo ukiiweka kwenye gari ya diesel itaperform kiwango cha CF.hapo ndo kwenyekigezo muhimu na tofauti kubwa kwani zipo 20W50 zipo nyingi za madaraja au tofauti hivyo nfipo umuhimu wa kujua gari lako ni toleo la mwaka upi ili utumie 20W50 ipi kama chart inavyoelekeza hapo juu..

hizi lugha za kuwa hii oil ni ya petrol na hii ni ya diesel ni lugha za kibiashara tu
 
Inkoskaz,

Ninasoma wapi kwenye gari kujua aina ya OIL inayofaa kwa gari yangu?

Ahsante
 
Inkoskaz,

Ninasoma wapi kwenye gari kujua aina ya OIL inayofaa kwa gari yangu?

Ahsante
Mkuu Maundumula gari zinatofautiana kidogo lakini most common description ni kwenye user manual.kama huna user manual jaribu kuangalia boneti kwa ndani huwa kuna kibati kimebandikwa kina maelezo
kwa mafuta ya brake aina yake imeandikwa juu ya kifuniko pale unapowekea mafuta ya brake
 
Last edited by a moderator:
Thanks mkuu mm nataka kufungua duka la spare na vilainishi nimefurahi sana kusikia juu ya hii oil nitakupigia kwa maongezi zaidi.thanks wa na jf wote sababu jf ndio kila kitu unapata
 
Shukrani kwa maarifa
 
Thanks mkuu mm nataka kufungua duka la spare na vilainishi nimefurahi sana kusikia juu ya hii oil nitakupigia kwa maongezi zaidi.thanks wa na jf wote sababu jf ndio kila kitu unapata

Asante wanan na iitakuwa vema ukiwa na mwanga wa bidhaa unazotaka kuuza.dunia inabadilika na ufahamu wa watu unaongezeka hivyo ni bora kujiweka kwenye bidhaa bora kwani ukiwa na bidhaa mbofumbovu na wateja wakapata madhara nazo hawatarudi tena matokeo biashara yako itakufa
siku hizi watu wana magari expensive na gharama ya kuyamantain ni kubwa yanapoharibika hivyo the right maintanance ni priority factor
Karibu
 
Last edited by a moderator:
tupe na ya fast jet
Hahaha Amavubi umesharudi kutoka Mombasa kwenye Challenge Cup?
ya Fast Jet pia ipo ni Aviation category ingawa Fastjet ina engine..ina brake..ina gears..ina hydraulic systems sasa sijui wewe ulitaka ipi?
 
Last edited by a moderator:
karata tatu....... tunatangaziwa kijanja biashara ya ZINOIL,
ingeachwa shule peke yake kuhusu oil ingekuwa nzuri zaidi!
 
karata tatu....... tunatangaziwa kijanja biashara ya ZINOIL,
ingeachwa shule peke yake kuhusu oil ingekuwa nzuri zaidi!
mkuu shule pekee bila kuonyesha suluhisho?
Afterall hili ni jukwaa la Uchumi na Biashara.wadau wanaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…