Wenye magari ya kusafirisha abiria

Wenye magari ya kusafirisha abiria

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Salute kwenu wanaJF wote.
Jamani wenye magari ya kusafirisha abiria changamkieni nafasi hii usafiri wa kupeleka watu Loliondo toka serengeti kwenda kwa babu na hii ni baada ya serikali kuzuia usafiri wa maroli
 
Back
Top Bottom