KIBURUDISHO JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 1,002 Reaction score 277 Apr 2, 2011 #1 Salute kwenu wanaJF wote. Jamani wenye magari ya kusafirisha abiria changamkieni nafasi hii usafiri wa kupeleka watu Loliondo toka serengeti kwenda kwa babu na hii ni baada ya serikali kuzuia usafiri wa maroli
Salute kwenu wanaJF wote. Jamani wenye magari ya kusafirisha abiria changamkieni nafasi hii usafiri wa kupeleka watu Loliondo toka serengeti kwenda kwa babu na hii ni baada ya serikali kuzuia usafiri wa maroli