Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,557
- 1,787
Miezi kadhaa nilienda pale Azam Tazara, nika weka gari sawa nikazima . Ile nafunga mlango na “remote” naona haikubali nika angaika mpaka nifangua remote ndani labda “battery” imekaa vibaya wapi, na nili badili kama miezi 2. Kuwasha gari nayo haiwaki tena, nikafunga na funguo mlango nifanya kazi zangu nikarudi kwenye gari nika mpigia fundi wangu hakunipa majibu ya maana sana kasema labda battery . Nikachukue ile remote nikaweka karibu na push button ikakubali kuwaka nikaondoka . Kufika nyumbani nikazima kuwasha kama kawaida haina tatizo kabisa.
Mwisho nikagundua pale Azam kuna minara nadhani inaingiliana / interruption na remote za magari nimepitia Google nimekuta ni kweli na pia kuna wadau ilishawakuta unaweza ita break down wakabeba gari [emoji1][emoji1]