2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Kuna ule usemi aliyenacho uongezewa.
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa ukiwa katika mahusiano ndipo wakinadada wanamiminika sana kukushobokea na kukuhitaji kimapenzi lakini ukiwa single na wakajua uko single, hawakupi hata salamu na unaweza ukakatiza mwaka hawakutazami hata usoni.