kuna watu huonekana wazuri wanapokuwa wanamilikiwa
Kuna wadada wanaonekana wazuri zaidi wakifanya ngono bila kinga coz zile sh.ahawa zinafanya ngozi ing'ae...wakiwa singo ooooh!!

Kuna ule usemi aliyenacho uongezewa.
Uzoefu wangu unanionyesha kuwa ukiwa katika mahusiano ndipo wakinadada wanamiminika sana kukushobokea na kukuhitaji kimapenzi lakini ukiwa single na wakajua uko single, hawakupi hata salamu na unaweza ukakatiza mwaka hawakutazami hata usoni.
ila jamani maisha haya utakuwaje single? mi siamini kama masingo wapo.

Mhhh?makubwa