Exactly mm damu yangu na me huwa hazipand yawezekana aliniuzi bhn mm huwa simtus mtu kama hajanijib vibayaaaAlijua me ndio maana akakutus labda[emoji23] [emoji23]
Halafu nilichochangia nilikupa tu pongezi mama yangu ngoja nitwishwe zigo hilo,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yawezekana tulipishana kauli mkuu jaman loooh hebu nisamehe tafasali
Usiwe na kinyongoo tena jaman [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Muone na wewe umezindukaa usingizini unaota Chamdeko na JrHivi ile harusi Mr Tunguli na Cha Mdeko ilifungiwa wilaya gani vile?..
Mwambie mshana jr akupe dawanitamjuaje [emoji23]
This weekend mdongo angu..Dada ako nitachepuka kidogo kwenye tumishe twangu..tufanye nextweekendNipokee tu weekend hii jaman
Ulweso ,,, Demiss anakuomba msamaha, umsamehe [emoji120][emoji10] kuna siku kwenye uzi 1 hivi umenijibu tusi baya sana, tena lakiluga halafu nakiijua ila poa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikasema kumbe na wewe una double id kidogo nianze kuliaaaaukapela ukizd huo hadi tunajiquote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta mnyonge mmoja umnyongee.
Nikumbushe basi jaman loooohNdugu yangu wee acha tu sasa mie tabia yakutukana me sina wala ke nikaweka pozi tu
Naona umeangua kicheko shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wew na hajar sijui ni ndugu..mnamichango yakiheshima sana kwenye nyuzi tofautHalafu nilichochangia nilikupa tu pongezi mama yangu ngoja nitwishwe zigo hilo,
kinyongo sina ila kila nilipokuta jina lako nilikwepa maana ilikuwa kwaresima, usijali ni ajali kazini
mmmh dawa sitaki,,Mwambie mshana jr akupe dawa
Au nenda kwa demiss mwambie cephalocaudo kakuagiza dawa
Bas pambana na hali yakommmh dawa sitaki,,
bora nipambane tu, kuliko dawaBas pambana na hali yako
Hahahahah aiseee kumbe nataman hata anikumbushe ni wapi nilmkeraa naweza kumbk sababuHaya kashakuomba umsamehe...msamehee bas chamdeko wetu[emoji23]
Usiwe na wivu ukiniona na babe wangu tunapita hapa.bora nipambane tu, kuliko dawa
Ni kweli, kuna baadhi ya wanawake humu wakikukomentia, inabidi uongee kwa sauti hata ukiwa peke yako.Kiukweli hapa nawakilisha KE/ME tulio hatuna viburudisho,, tunapata wivu pale mnapoanza kuoneshana mahaba ktk status zenu,, kiukweli tunabaki kujichekesha tu ktk status zenu,,, tupotupo tuu,,, yaaan
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana akiiiiiHalafu nilichochangia nilikupa tu pongezi mama yangu ngoja nitwishwe zigo hilo,
kinyongo sina ila kila nilipokuta jina lako nilikwepa maana ilikuwa kwaresima, usijali ni ajali kazini
Sijalala tangia asubuhi nashangaa sijui usingizi umeenda wapi.Muone na wewe umezindukaa usingizini unaota Chamdeko na Jr