Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Siku zote asikwambie mtu watu wenye mahusiano yanayojulikana huwa wanapitia wakati Mgumu sana.
Kwa hapa jf msione couple hizi zinazojulikama wakigombana mpaka kufikia hatua ya kuachana huumia sana kwa sababu watapata aibu hivyo kutokana na watu kujua kuwa ni couple hupelekea kusameheana ili walinde heshima yao.
Chukua mfano gigy kumbe Mo j akirud nyumban anamtukana wanagombana hapo hapo akiingia IG wanabebishana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] inahitaji moyo wa uvumilivu sana.
Mahusiano kama haya huwa hayafi haraka kwa sababu watu watawaonaje wakiiachana.
Unaweza kusema wanapendana hawa kumbe wana mwezi wanalala mzungu wa nne wakija Jf sasa utaona comment.
"BABY JANA UMENIKOSHA WEWE"
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wana mwezi hawaongeiii.
Hizi couple zinazojulikana Jf huwa wamejiandaa kisaikolojia.
Lakini wanasaidia baadhi ya watu kuwaiga na kutaman kuwa kama wao sababu hata wanuniane huwez kujua.
Kama mnabisha ulizeni Couple pendwa hapa JF
Mfano Mshana jr and Demiss
Shunie na mwenzio.
Bila kusahau Hajar na D wake.
Huwa inafikia kipindi wanatamani pia kuchati ata na Mr Zero IQ ila Ndio hivyo wameshajipiga Lock.