Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo.

Wenye herufi zenu, ya kweli haya?

 
Sio kweli ni imani potofu kuhusianisha majina ya watu na tabia zao au zodiac signs

Halafu hili ni tatizo lenu ke
 
😂😂 ndio umesema aliyetoa elimu yake ni mjinga?
 
Back
Top Bottom