KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Habari za Sunday wana Jamvi.
Kwanza ni declare interest kuwa mimi sijawahi kumiliki gari ya aina yoyote bali hii ni ndoto inayoishi.
Huwa nina maswali mengi kuhusu magari, kuanzia gari lenyewe, manufacturer, clearing and fowarding companies, TRA (KODI), Uendeshaji wake etc
Suala ambalo najua wengi wetu ambao tunasema Sir God akibless basi tunawaza kumiliki vitu hivyo.
Unakuta mtu anatangaza Gari Lets say ni dalali basi kaweka vikorombwezo kibao mpaka unawaza vina manufaa gani na kivipi vinaongeza thamani ya gari??
Tuanzie hapa....
1. Airbag ni kitu gani na kinafanyeje kazi??
2. Zile 1400CC, 2300CC, 3500CC, Zinaongeza au kupunguza nini kwenye gari
3. Kuna hii 2.2L, 2.4L hiyoo L inatafsiri kitu gani na kivipi inaongeza thaman ya chuma....
Karibuni wenye maswali na wale wenye uelewaa na mambo haya...
Asanteniii