Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

Wenye matatizo haya sasa wanaweza kupata tiba kwa gharama nafuu sana

Joined
Sep 11, 2014
Posts
10
Reaction score
8
Natibu watu wenye matatizo yafuatayo kwa gharama nafuu sana.

Mawe ya kwenye mfuko wa nyongo bila upasuaji.

Mtu kutokwa na jasho jingi muda wote, bila sababu maalum. Matokeo ni ndani ya masaa 48.

Kukosa nguvu za kiume na kushindwa kurudia tendo la ndoa mpaka muda mrefu upite au kushindwa kabisa kulirudia Zaidi ya mara moja kwa masaa 24.
Udhaifu wa mwili usio na sababu zilizo wazi.

Na mengine mengi.

Walio na shida zilizoainishwa hapo karibuni Pm.
 
Napenda kuuliza,kwa mtu aliyepga punyeto kwa mda mrefu zaid na ikawa inamtokea hali ya kufka mapema klelen na ktoweza kuungansha au krudia ndan ya mda mfupi,je,nn msaada wenu kwake ? Anaweza akapona au mnaushauri gan ? Nawasilisha.
 
vipi tatizo la ku lose erection wakati wa tendo tu lakini nje ya hiyo context inakuwa fresh linahusika na nguvu za kiume?
 
Mpo kigamboni tu hamna branch zenu zaidi ya kigamboni
 
Tatizo la nguvu za kiume lililosababishwa na kujichua kwa mda mrefu. Mfano kuwahi kufika kileleni ndani ya sekunde kadhaa,kutokuwa na uwezo wa kuunganisha tendo la ndoa baada ya bao la kwanza,kuchelewa kurudia tendo la ndoa baada ya bao la kwanza na kusinyaa kwa umme baada ya kufunga bao. Nataka nijue gharama zenu kwa mtu mwenye matatizo kama hayo.
 
sijakuelewa halo uliposema matokeo ndani ya Masaa 48,halafu unasema matibabu bila upasuaji! mfano MTU ana gallstones hayo mawe ya kwenye fuko la nyongo nayo ni 48 hrs?
 
Mimi ninakojoa mkojo wa njano karibu mda wote hata nikinywa maji mengi utabadilika kidogo na mda mchache unarudi kuwa wa njano, nimepima UTI, MALARIA NA TYPHOD sina, sijui Nina tatizo gani.
 
Dozi yako ya nguvu za kiume ni ya mda gani na unatoa guarantee gani? Maana Hays Hays madawa utapeli mwingi mno!
 
Back
Top Bottom