Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Mimi nawakubali sana British SAS huwa hawarembi na Alshababu akisikia SAS ameingia huwanayayuka.
SAS is the best of them all . Actualy ni one of the first tear 1 groups.
Wako vizuri sana. Secretive.. direct.. no show. Just action. Ndio maana wanakuwa successful kwenye mission zao. Sababu hawatangazi hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mbona kawaida Sana, picha hazina shida kabisa, ungeona Mambo Darful huko mzee, enzi za janjawid, Ni hatariiii...afu unakuta maiti zakutosha ila unapga misele tu humo humo

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Waarabu woote ni kitu kimoja lakini wanamakabila mbalimbali walioshtakiwa wengine ni wakenya lakini kwenye zile pixha za mizoga wote walikuwa ni wasomali.
Wasomali ni waarabu? Wewe mwenyewe umesema kwamba magaidi wote waliofanya lile shambulizi la pale Riverside ni wa kabila la Farmajo, rais wa Somalia. Wakati wasomalia wote ni wa kabila moja, ukoo tofauti. We vipi wewe, huna breki? Kazi kujitungia tu hadithi unazozielewa wewe mwenyewe. Hili ni jukwaa na watu makini bana, wapi ushahidi wa yale unayoyasema?
 
Nope. Amewahi kufika kismayo . Infact.. huyu ndio sababu america wana base hapo somalia.
His idea was kuwa na task force maalum itakayo wasaidia kwenye counter terror mission against alshabab.
Call them Danab commandos.
Trained by french and usa forces ,baade mafunzo yakaendelea uturuki.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu woote ni kitu kimoja lakini wanamakabila mbalimbali walioshtakiwa wengine ni wakenya lakini kwenye zile pixha za mizoga wote walikuwa ni wasomali.
Sasa binadamu wakifa wanakuwA mizoga na wanyama maiti .
BTW wewe ni mtaalam wa masuala ya usalama maana umejaza posts humu tangu lile shambulizi litokee?
 
Safi sana. Haya magaidi hii ndiyo lugha wanayoweza kuielewa kwa haraka.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Nilikuwa sijui.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…