Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Watu wa Nairobi wakae mkao wa kula hili shambulio litalipizwa!
 
[emoji23] [emoji23]
 
Hamna vita mbaya kama kupigana na mtu anayependa kufa kuliko unavyopenda kuishi.

kenya waongeze umakini maana hawa terrorists lazima wajipange kurudi
 
International city?? What the F****!!
Mara ngapi Wanaume kutoka Kismayo wamekuja kuchinja chinja vikenya na majeshi yenu yanabaki kukodoa macho.
Nitawaita tena waje wakijambishe, endelea kuchonga domo lako.
Matak* wewe utawaita si uje wewe mwenyewe. Nitapambana na wewe mimi mwenyewe. Huku hatucheki na wapuuzi kama nyinyi.
 
Nini hii unacoment,??hizi akili gani hizi
 
Ta


Tatizo ni wajinga

Upigwe na wanajeshi

Ukalipe sokoni ambako hawajuwi lolote. Watoto, wanawake nk

Nawachukia sababu husabisha maafa kwa RAIA wema wasio na hatia na wasiojuwa lolote
Sio wajinga tu tena ni waoga sana wanapenda kutishia kuliko kuonesha uwezo wao wangekuwa wanavamiaga kambi za jeshi kenya ningewaona wa maana sana ila kwa uwonga wanavamia watu ambao wengine silaha wamezionaga kwenye muvi tu, shame upo them

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiua ndugu zao sio ishu maana kuna wengine ambao hawasapotiwi kabisa na jamaa zao kwa ujinga wanaofanya wengine hata jamaa zao hawajui kuwa wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa upo sawa lakin hili ni tofauti na wao magaidi wanavyofanya wao wanawalenga watu moja kwa moja ugngeniambia wao wamevamia kambi ya jeshi kenya halafu wasio na hatia wakauwa kidogo unaeleweka lakin sio kwenda kuvamia watu wamelala zao hotelini na unajiita jasiri et upo vitani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…