Wenye mna roho fuateni link muone vile Marekani waliwafanya nyama choma Al-Shabab jana huko Somalia.

Status
Not open for further replies.
Hiv unajua hawa wanajitoa muhanga wanachezewa tu yaani kwenye suala la ugaidi kinachofanyika ni mtu kukuuzia panya na paka kwa pamoja,siku wenye dini wakijitambua ndo ugaidi utaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndo kinachotokeaga mtaani wakifanyaga ugaidi kuna waislamu wasiohusika wanasotaga sero kwa sababu ya ujinga wa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Msingi wa Vita Ni kupiga eneo ambalo linaumiza roho ya adui Kweli Kweli

Hata Wewe ukipigana Na adui yako utahujumu eneo ambalo anaumia Sana ukihijumu bila ya kujali Ni sahihi Au laaa!

Majeshi ya Magharibi Mara ya kwanza kuvamia Libya hawakushambulia KAMBI Za Gadafi, wakishambulia Maeneo ya kiraia na kuhujumu Miundombinu

Taja nchi Hata Moja ambayo Marekani iliivamia ikaishia kushambulia Kambi Za Jeshi peke yake Na ofisi Za Kiserikali?
 
Lakini we jamaa una roho ya kishetani. Huwezi kufurahia matendo ya hawa magaidi kama una akili timamu.
 


We jamaa mbona kila kitu huwa unapinga? watanzania hatuna roho kama izi. Kuna mambo ambayo unaweza weka utani lakini katika hili jitahidi ku hide Utani.
Kitu ambacho hujui kuhusu Al-ni kuwa hata wakiamua kuingia TZ, watatumaliza tu, kwakuwa bado hatujawa na Techn, ya kupambana na Magaidi Kikamilifu. Fikiria kwanini kwanini US atumie Drone?? Tafadhari Jirekebishe Mkuu, wengine huwa hatufurahii kuona wenzetu wakipata matatizo.
 
We jamaa uliwaza nini lakini dah! hahahaa.
 
Al shabaab juu, kama moto wa kifuu.
Tafufa uzi mmoja unatambaa kinyama kuna video ya KDF anajieleza na kisha kupigwa risasi ya kisogo.

Nimeiona, Inatisha sana.
It is hard to support watu wa aina ile,Huwezi ua mtu kirahisi vile na kwa maumivu makali aina ile.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…