Inategemea,maana mwanaume anaweza oa mke zaidi ya moja kutegemea na uwezo wake
Usiwalaumu watongozaji peke yao, Jaribu kuwalaumu na watongozwaji pia maana ridhaa inatoka pande zote mbili.Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
Tunye-tunye niaje.... Mama mukuuuTatizo liko kwa wanawake wanapenda sana kuolewa na hapo wanaume wanatumia chance hiyo kuwapata. du yamekukuta nini wangu?
keshaachwa mtu
Usiwalaumu watongozaji peke yao, Jaribu kuwalaumu na watongozwaji pia maana ridhaa inatoka pande zote mbili.
Tunye-tunye niaje.... Mama mukuuu
BB...
Kama umepitia hii kitu maana umembaini mapema kweli
Nahisi kasalitiwa tu, jamaa kakutana na do mkali kasema hana mke.keshaachwa mtu
Vijana wenzako ulikuwa huwaoni!........ mambo ya kupenda vipoketi money hayo utadhani hamna wazazi.Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
Nashangaa ! wasichana saa ingine na nyie msiwe easy going, mara nyingine huwa tunashuka rhymes kwa kunatania tu, unashaanga kitu kimerespond.Tatizo mabinti tunapenda kulaumu mambo mengine ambayo yapo ndani ya uwezo wetu we unamuona mtu anapete sasa unategemea nn hapo au kufanywa nyumba ndogo.
Vijana wenzako ulikuwa huwaoni!........ mambo ya kupenda vipoketi money hayo utadhani hamna wazazi.
Walai wanaume hasa wenye ndoa mnaboa kweli yani huoni hata aibu kumfata msichana unamtongoza afu unamdanganya eti ntakuoa wakati tayari una pete kubwa kidoleni afu ukimwangalia mkewe huwezi hata kujilinganisha alivyo wa ukweli khaa acheni kutufanya tambala la mlangoni kufutia miguu!
Si unajua tena watu tunasoma between the linesBB...
Kama umepitia hii kitu maana umembaini mapema kweli
Mwenzangu hata cjibani ni kwamba nimemaliza chuo mwaka jana na nipo ofc moja najitolea huku nikiendlea kutafuta ajira huku na kule tatizo wanaume weng wa ofc hii ni wasumbufu balaa ful kutongozwa kila unapokatiza afu wengi waume za w2 unapomjibu anakosa nn kwa mkewe anabk kusema huwezi jua kwanini nakutaka ww sa imetokea leo mmoja kaja na mkewe leo ofcn wa ukweli balaa ndo nikashangaa cz cwezi hata kujilinganisha afu anavyompondaga mpk anaboa!Hebu nisimulie kisa chako kwenye PM,
Naona hapa umejibanabana umeishia kutoa jazba tu..
Tulia shostito