Wenye Ndoto za Kujenga Viwanja 3 Vinauzwa Hakuna Udalali!

H.M.MUYANGO

Senior Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
110
Reaction score
9
Mimi ni ndugu wa mmiliki wa hivyo viwanja vilivyopo KILOMO-BAGAMOYO;

(1)35kwa35+jengo ambalo halijaisha(shilingi milion40-35)

(2)35kwa35(shilingi milion4.5-milion3.5)

(3)25kwa25(shilingi milion4-milion3)

Call;0719586416 kwa anaye hitaji na kuuliza kuhusu Viwanja tajwa hapo juu katika orodha!
Asanteni Wanajamvi
 
kiromo kubwa lkn na upande upi viwanja vilipo
 
mkuu uko kwenye whatsup tukaongea
mm siko Tz kwa sasa mpaka November 30th
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…