gesselle
Senior Member
- Nov 12, 2013
- 171
- 51
Ndugu zangu kuna utafiti nataka kuufanya juu ya jengo la Biashara la machinga complex Na proposal tayari nimeiandaa tatizo ni fedha za kufanya utafiti huo kama kunamtu anaconnection tafadhali nisaidie nadhani utafiti huu utasaidia kuifumbua macho serekali katika mipango yake
Nitasema kweli daima
Nitasema kweli daima