Ndugu zangu kuna utafiti nataka kuufanya juu ya jengo la Biashara la machinga complex Na proposal tayari nimeiandaa tatizo ni fedha za kufanya utafiti huo kama kunamtu anaconnection tafadhali nisaidie nadhani utafiti huu utasaidia kuifumbua macho serekali katika mipango yake
Nitasema kweli daima
Unataka kuiteka research yangu
Nitasema kweli daima
Weka abstract hapa tuone mkuu
wewe ni mjita?
Ndugu zangu kuna utafiti nataka kuufanya juu ya jengo la Biashara la machinga complex Na proposal tayari nimeiandaa tatizo ni fedha za kufanya utafiti huo kama kunamtu anaconnection tafadhali nisaidie nadhani utafiti huu utasaidia kuifumbua macho serekali katika mipango yake
Nitasema kweli daima
Hapana, itakusaidia nini mkuu?
Just curiousity tu nimeona una sura ya kijita
hivi ile avatar yako mbona umebadili?
Hapana, itakusaidia nini mkuu?
avatar ipi tena kaka?
Anataka kutambika