JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,114
- 3,541
Naam wanabodi,
Hakuna jambo limekera kama hili la Job Ndugai kutumia mamlaka yake vibaya. Hatua aliyo fikia siyo tu amevunja Katiba waziwazi bali pia amewafhara watanzania na kudhani kuwa hawezi kufanywa chochote. Jambo hili haliwezi kupita hivihivi.
Kwahiyo kwa wale wenye nia ya dhati ya kumfungulia mashitaka Job Ndugai tukutane hapa.
Tutakapo kuwa tayari napendekeza tumshitaki kwa makosa yafuatayo:-
1. Kuvunja kwa makusudi kabisa Katiba ya JMT
2. Matumizi mabaya ya fedha za umma.
3.Matumizi mabaya ya ofisi ya Speaker ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba kuwasilisha.