Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Hali hiyo imetokana na chama hicho kujikita zaidi kutafuta pesa za matumizi ya viongozi wakuu wa chama hicho kwa mgongo wa matumizi ya chama na kuhamasisha wananchi kutokushiriki uchaguzi mkuu huo wa kikatiba October mwaka huu 2025, mpaka pale matakwa ya chama hicho yatakapotimizwa.
Wengi wao wamekatishwa tamaa na hali hiyo na wameona kwakua chama hicho hakitashiriki uchaguzi huo wa October, ni vyema wakatafuta fursa hiyo kwenye vyama vingine, ili hatimae kutimiza azma, nia na ndoto zao za kikatiba kupata fursa za kua viongozi na wawakilishi wa wananchi maeneo mbalimbali nchini kwa Neema na Baraka za Mungu.
Hiyo ni miongni mwa athari za mwanzo kabisaa za nonsense ya no reform no elections ya chadema.
Je,
watia nia hao wataondoka wenyewe au wataondoka na watu ndani ya chadema?🐒
Mungu Ibariki Tanzania