Wakuu mi ni mgeni humu jamvini naombeni sana mnipokee.. Ninaahidi kutimiza yote yanayopaswa kutimizwa humu jf ili niepuke vitu kama ban au kukwaruzana na members wenzangu with no good reason..pia naomba kuelekezwa tunaishije humu ndani? Je kuna donation yoyote to make the forum alive.
Nawasilisha wakuu