Viongozi wengi wa serikali uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana , sasa badala ya kutafuta mbinu za kisasa kupambana na hili la madawa wao wanatafuta wepesi wa kazi kupitia wenye nyumba ,SHERIA ya hovyo kabisa hii... Likikamatwa gari la Serikali inakuwaje!?? Kama zilivyokamatwa ambulances na macruiser ya serikali!? Zikikamatwa kwenye quarters za Serikali!?
Ama kwenye maghorofa ya shirikabla nyumbal la Taifa?
Mpangaji akipangishwa nyumba mwenye nyumba ana uhuru gani wa kukagua nyumba kila siku?
Huyu Lyimo atakuwa ni mchaga mjinga wa kwanza.
Hilo ni tamko, sio sheria, na ndio maana Africa kuendelea ni shida sana, kumejaa matamko kede kede.Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Katiba!!!Kuna sheria kandamizi sana
mbona hata wewe unakosea, huoni hiyo sentensi uliyoandika?We jamaa ujaanza tu kujifunza kusoma na kuandika?!
Je itakuwaje kama mpangaji wa shirika la nyumba la taifa NHC mpangaji wake akakutwa na bangeWakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Kuna mchezo mchafu unatengenezwaNa je kama kutafanyika upakaziaji, nyumba inatupiwa dawa za kulevya kisha wanakuja askari na kusema tumezikuta kwenye nyumba hii itakuaje? Ni utata mtupu
Afadhali ya mimi, ila Pdidy ni ngumbalu kabisambona hata wewe unakosea, huoni hiyo sentensi uliyoandika?
Ukisha mpangisha mtu nyumba Ina maana tayali hiyo nyumba niyakwake kwa mda alio lipiaWakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Mkuu unataka ulipwe au? fungua twisheni kabisaujui=hujui, ngumbalu=ngumbaru
Hawa wapuuzi kuna wakati wanalewa madaraka na kuropoka ovyo kama watu waliokula madawa ya kulevya. Huyo aliyetamka hayo maneno inawezekana naye amelewa madawa ya kulevya. Akamatwe apimwi madawa mwilini mwake.Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza wamiliki wa nyumba za kupangisha kuwa waangalifu na wapangaji wao.
Alieleza kuwa baadhi ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya wamekuwa wakitumia nyumba walizopanga kama maghala ya kuhifadhi dawa hizo, huku wao wakiishi sehemu nyingine.
Soma pia: Makonda: Ukichagua viongozi wa mtaa waaminifu wasiyojihusisha na madawa ya kulevya utaleta chachu katika ngazi hiyo
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Novemba 25, 2024, jijini Dar es Salaam, Kamishna Jenerali Lyimo alisisitiza kuwa kwa mujibu wa sheria, mali yoyote, kama nyumba au gari, ikikutwa na dawa za kulevya, itataifishwa.
Kamishna huyo amewataka wamiliki wa mali hizo kuhakikisha wanachukua tahadhari na kusimamia vyema mali zao ili kuepuka hasara na kuhusishwa na vitendo haramu.
Source: Wasafi FM
My take:
Mbona kama kuna watu specific wanatafutwa kwa tochi kupitia agizo hili?
1. Mimi kama mwenye nyumba ntajuaje kama mtu anaweka madawa ya kulevya ndani ya nyumba? Niweke CCTV au niwe nafanya doria za kushtukiza?
2. Hiyo nyumba ikishataifishwa inapelekwa kwa nani au taasisi gani?
3. Kama inaenda kwa serikali hamuoni kwamba kuna baadhi ya vigogo serikalini wanaweza wakatumia mwanya huo kupora nyumba za watu iwapo watazipenda?
4. Huo utaratibu wenu wa kutaifisha nyumba ni watanzania pekee au ni utratibu wa kimataifa? Ni mataifa gani yana utaratibu kama huo?
5. Hiyo sheria ya kutaifisha nyumba ambayo sio ya mtuhumiwa ipo kwenye ibara gani kwenye Katiba yru ya inchi?
Huyu jamaa ameyakanyaga mawaya yaan hapo sasa ndio alipojiharibia kazi hana muda mrefu anapigwa chini huko alipofika sio penyewe soon utasikia katolewa yaan Nchi hii ukitaka kutibua gusagusa mambo ya nyumba na makazi ya watu you're finished yaan lazima utimuliweHapa lazma watu walizwe