milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahesabu mpka walinzi vibarua na mama ntilie ambao ni 90%Watanganyika waliopata ajira Bomba na mafuta tukutane hapa!
Mradi upo na unaendelea kuchanja mbuga kimya kimya huku figisu za kila aina kutoka kwa Mabeberu na vibaraka wao, nazo zikiendelea ili tu kuhakikisha haufanikiwi.Hivi huu mradi hupo kweli? Au huko kwenye makaratasi??
Tuwekee picha halisi! Tuone mapicha Tanganyika ni mengi kupita uhalisia wenyeweMradi upo na unaendelea kuchanja mbuga kimya kimya huku figisu za kila aina kutoka kwa Mabeberu na vibaraka wao, nazo zikiendelea ili tu kuhakikisha haufanikiwi.
Aliyeandika tangazo au ujumbe huu,au ujumbe huu ulikotokea tunaomba ufafanuzi wake wa kina.Watanganyika waliopata ajira Bomba na mafuta tukutane hapa!
Mkawaroge ili wawe vichaa mchukue nafasi zao, tunawajua sana nyie wabongo
Meneja Wa Makampuni anayo.Watanganyika waliopata ajira Bomba na mafuta tukutane hapa!
Haya,tumepata pa kuanzia!
Mguu kwa mguu 2025 ,huyo bibi anajua anakotupeleka? Itafika 2030 tutaanza kushangaana na kulaumiana ,na kuanza kumtukana matusi ya Kila namna,ila haitasaidia,tutakuwa tumeshapigwaWatanganyika waliopata ajira Bomba na mafuta tukutane hapa!