Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

🤣🤣🤣🤣🤣uliyoyaona au unayoyaona sio sahihi🤣

Msaada wa kifedha my brother
Fedha Tena!!..😅 ni sahihi kwasababu unayasahihisha..😂
 
Oh kwamamaangu kule. Basis sawa mamdogo ukienda tens niambie nikupe hela uniletee vitui, mbelele, mbasa na likungu wa mto ruuhu.
😀😀 Mwezi wa nane nashuka Tena..usijali nitakuletea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…