GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na CAFCL?
Kudadadeki, tumerudi Kazini wenye Kuujua UMAFIA wa Soka la Tanzania na sasa mtakuja Kutuomba Msamaha, sawa?