GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muhimu tu msimu ukianza kuchanganya, zile kelele zenu za kumkataa Mangungu na baadhi ya hao wachezaji wenu mnao wamwagia sifa wakati huu; zisiwepo. Ni ushauri tu lakini.😃😃😃 Simba raha sana hatunaga maombolezo...msiba tunazika fasta tunaendelea na sherehe...
Mimi sijammwagia sifa kiongozi yoyote yule ..mi always nipo na Mo...mpk aamue mwenyewe kusepa..hao wengine sinaga habari nao..Muhimu tu msimu ukianza kuchanganya, zile kelele zenu za kumkataa Mangungu na baadhi ya hao wachezaji wenu mnao wamwagia sifa wakati huu; zisiwepo. Ni ushauri tu lakini.
Hapo uingie ulimi ndiyo raha yenyewe isiyopimika. Alinifanyiaga huo mchezo mtoto mmoja wa kizungu nikasema heeee kumbe sijaiona dunia badoo. Miaka ikaenda akaja kunifanyia mtoto wa kisukuma nikasema dunia ni kijiji!Raha waliyo nayo mashabiki wa simba haipimikiView attachment 3032593
Mnajua jinsi mnavyoipigaga shoti SimbaUzuri JF haisahau,tutakumbushana baada ya mechi tano za mwanzo za ligi. Tena kama ww huna subira kabisa, hao unao wasifia kesho utawaponda.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa...Azam na makolo kipindi cha usajili ndio kipindi chao cha furaha,ligi ikianza mangungu tuachie timu yetu
Acha wapate raha kipindi hiki cha usajili.Azam na makolo kipindi cha usajili ndio kipindi chao cha furaha,ligi ikianza mangungu tuachie timu yetu
Shoti mnajipigaga wenyewe, mmeshaanza kusaini wachezaji kocha hamumjui.Wachezaji wenyewe tunazisikia sifa zao kupitia msemaji wenu,ila uwajani uwezo wao hamna anaye wajua.Mnajua jinsi mnavyoipigaga shoti Simba
katika michezo ya mwanzo ili kutengeneza gepu mapema
Yule anaye tunza kumbukumbu asisahau kutunza na ili bandiko ili tusipate tabu katika kukumbushana.Shoti mnajipigaga wenyewe, mmeshaanza kusaini kocha hamumjui.Wachezaji wenyewe tunazisikia sifa zao kupitia msemaji wenu,ila uwajani uwezo wao hamna anaye wajua.
Pili mnaijenga timu,kujenga timu sio kama kutia sukari kwenye kikombe cha chai,msipokuwa na subira mtapigana fimbo wenyewe kwa wenyewe.
Halafu nimekumbuka! Wewe jamaa ni mnafiki sana.
Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na CAFCL?
Kudadadeki, tumerudi Kazini wenye Kuujua UMAFIA wa Soka la Tanzania na sasa mtakuja Kutuomba Msamaha, sawa?