Wenye Simba tumerudi rasmi! Tega sikio Saa 12 kamili jioni ya leo, chuma cha maana kinaingia!

Chuma chenyewe ndio hicho cha kigana🫠
 
Me nadhani simba waache huu ujinga wa tangazatangaza kwn watu wana hasira sn.Wawe serious wafanye usajili wa maana,wawepo viongozi madhubuti kwaajili ya matokeo chanya na si wachumia tumbo.
 
Muda wa kufurahia mafanikio ya Simba haujafika.
 
Mnasherehekea nini?
Tunasheherekea kwamba miaka ile ya 70 uliyozaliwa Wewe Dar es Salaam nzima kulikuwa na Hospitali mbili tu za Ocean Road uliyozaliwa na Muhimbili na kwamba Hospitali ya Agha Khan niliyozaliwa Mimi GENTAMYCINE haikuwepo nchini na Mkoani Dar es Salaam miaka hiyo.

Yaani Mimi nina Wewe tu katika hili mpaka Ukiri kuwa ulitoa BOKO LA KARNE na kwamba huna unachokijua zaidi ya Misifa.
 
Nyuzi kama hizi najikuta najaa matumain.

Tupate na mtu wa hamasa pale simba basi tu tunafufuka upya.Ahmed ally anaonekana kuwa mpole kazidiwa kwa kiasi na hako katoto ka utopolo.
 
Mpaka mwezi wa saba kichaa bado hakijatulia?

Weka hapa birth certificate ficha jina inayoonesha umezaliwa Agha Khan nakupa dollar 1000 cash, au Bunda kuna Agha Khan?
 
Mpaka mwezi wa saba kichaa bado hakijatulia?

Weka hapa birth certificate ficha jina inayoonesha umezaliwa Agha Khan nakupa dollar 1000 cash, au Bunda kuna Agha Khan?
Masikini kama Wewe unitishe Mtu ambaye nipo Ikulu ya Nchi jirani na napewa Heshima ya VIP hadi Ubalozi unajua? Idiot...!!

Nimemaliza.
 
Nyuzi kama hizi najikuta najaa matumain.

Tupate na mtu wa hamasa pale simba basi tu tunafufuka upya.Ahmed ally anaonekana kuwa mpole kazidiwa kwa kiasi na hako katoto ka utopolo.
Naunga mkono Hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…