EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Simu feki zina tabia ya ajabu sana,unaweza ukaandika thread yako vizuri wakati unapost simu feki inaweza kuyabadilisha maneno yako mwisho ukaonekana uliandika uzi ukiwa kwenye ambulance unakimbizwa hospitali