EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
A10 tu mkuu mbwembwe hizi[emoji23][emoji23]Simu feki zina tabia ya ajabu sana,unaweza ukaandika thread yako vizuri wakati unapost simu feki inaweza kuyabadilisha maneno yako mwishowe ukaonekana uliandika uzi ukiwa kwenye ambulence unakimbizwa hospitaliView attachment 1235642
Ndio mkuu,tembea kifua mbele,hata kwa kile kidogo ulivyo nachoA10 tu mkuu mbwembwe hizi[emoji23][emoji23]
Leta mada za maana mkuu! Sasa utembee kifua mbele kisa simu? Huo si ushamba sasa[emoji856][emoji856][emoji856]
Hahaaaa hapa nakujibu kwa Nokia e72 v091.004, 02-june-2012, siwezi kosa Nokia angalau tatuna sie tunaotumia nokia ya tochi 105 v 03.60 ya tarehe 11/12/2013
tunakomenti pia hapa??
Chako lazima ujivunie bahnaSimu feki zina tabia ya ajabu sana,unaweza ukaandika thread yako vizuri wakati unapost simu feki inaweza kuyabadilisha maneno yako mwishowe ukaonekana uliandika uzi ukiwa kwenye ambulence unakimbizwa hospitaliView attachment 1235642
na sie tunaotumia nokia ya tochi 105 v 03.60 ya tarehe 11/12/2013
tunakomenti pia hapa??
Na mimi nawajibu kwa Nokia asha 200 ya 7/6/2012hahaaaa hapa nakujibu kwa nokia e72 v091.004, 02-june-2012, siwezi kosa nokia angalau tatu
Tembea kifua mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo.Simu feki zina tabia ya ajabu sana,unaweza ukaandika thread yako vizuri wakati unapost simu feki inaweza kuyabadilisha maneno yako mwishowe ukaonekana uliandika uzi ukiwa kwenye ambulence unakimbizwa hospitaliView attachment 1235642
hahaaa kumbe na wewe ni mpenzi wa Nokia? Nina asha 302 piaa.Na mimi nawajibu kwa Nokia asha 200 ya 7/6/2012
Hii Nokia asha yangu naipenda sanahahaaa kumbe na wewe ni mpenzi wa Nokia? Nina asha 302 piaa.
Da we jamaa bana unatumia Itel ya button lakini umeweka mapicha ya xiaomiNa sisi tunaotumia hii kitu je??View attachment 1235703
SafiHapa nacoment kwa TECNO T402 yenye thamani ya 35,000 fedha halali ya kitanzania, natembea kifua mbele pia.