K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 #1 Je kuna madhara ya kuwa na rangi flani flani tofauti katika macho? Spectrum of eye color
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 331 Nov 5, 2012 #2 Swali lako sijalielewa unamaanisha rangi ya mboni? nafikiri ni kaz ya uumbaji kama tulivyo wazungu, waafirika wahindi n.k ila ngoja wtaalamu waje?
Swali lako sijalielewa unamaanisha rangi ya mboni? nafikiri ni kaz ya uumbaji kama tulivyo wazungu, waafirika wahindi n.k ila ngoja wtaalamu waje?
X xobit Member Joined Oct 31, 2012 Posts 51 Reaction score 1 Nov 7, 2012 #3 kamkoda said: Je kuna madhara ya kuwa na rangi flani flani tofauti katika macho? Spectrum of eye color http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c3/Eye_Central_Heterochromia_crop_and_lighter.jpg/120px-Eye_Central mi cdhan km kuna madhara yoyote coz ni hzo zote ni aina tu za rangi ya macho kulingana na race za watu! Click to expand...
kamkoda said: Je kuna madhara ya kuwa na rangi flani flani tofauti katika macho? Spectrum of eye color http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c3/Eye_Central_Heterochromia_crop_and_lighter.jpg/120px-Eye_Central mi cdhan km kuna madhara yoyote coz ni hzo zote ni aina tu za rangi ya macho kulingana na race za watu! Click to expand...