Wenye taarifa kuhusu pesa za field atujuze

mumak

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
1,069
Reaction score
668
Jamani mwenye tarifa za pesa za field tujuzane maana wengine tupo vijijin na hadi sasa hatujapata pesa za field na loarn board walikua hawajatuingizia hadi kufikia tar 20/ mwez huu sasa sijui kama kunawenzetu waliopata basi watujuze,
 
Upo chuo gani, maana vyuo vingine hadi washamaliza hiyo pesa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…