Naona saa tatu sasa vipi Kipenzi cha Wekundu Okwi keshafika? Maana taarifa alikua aje leo wale mpo airport kumpokea vipi bado hajawasili?
Ameshafika nowNaona saa tatu sasa vipi Kipenzi cha Wekundu Okwi keshafika? Maana taarifa alikua aje leo wale mpo airport kumpokea vipi bado hajawasili?