Wenye tecno samahani sana mtusamehe.

Wenye tecno samahani sana mtusamehe.

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Hahahahaha.
IMG-20190602-WA0056.jpeg
 
una nini lakini wewe?

tecno zikifungwa mimi na wengi tulio humu jukwaani, hautatuona[emoji854][emoji854][emoji849]
 
Nayo matanga yataisha tu na tutazoea wapenzi wapya.Ila tecno ndio mkombozi wetu tusio na hobbie wala njuluku za kununua iphone x na sumsang galax edge sie na tecno ukitutoka tutakulilia kama viroba og na dada zake kina valuu
 
Back
Top Bottom