windows8.1
Member
- Apr 10, 2014
- 15
- 0
poleni wote mlio wapenzi wa jukwaa hili kwa mihangaiko ya kutwa nzima.Lengo langu ni kutaka kufahamu namna ambavyo PSPTB inavyo mkonsider mtu mwenye postgraduate diploma ya ugavi na aliye na digrii tofauti na ugavi.
Binafsi,ninasoma postgraduate diploma ya ugavi katika chuo cha T.I.A ila digrii yangu ni elimu.Nachotaka kufahamu ni kwamba;baada ya kumaliza na nikahitaji kufanya mitihani ya bodi,nitatakiwa kuanza na level 4 au level 1 kabisa?Nategemea kupat majibu sahihi kwani ni muda mrefu nipo njia panda.Asanteni.