We ni me au ke na ushawahi tumia hizo dawa. Nijibu halafu nikueleze kitu kwa experienceKuna aina za dawa zinajulikana kama PPI mfano omeprazole, lansoprazole, pantoprazole, rabeprazole au zinginezo, ushawai tumia hizo?
Zinasaidia sana kama unatumia kwa muda unaotakiwa. Pia hazina madhara kwa matumizi ya muda mrefu (kwa ninavyofahamu).
Tumia aina ya vyakula ambavyo havina acid (au havisababishi ongezeko la acidity tumboni). Mfano epuka vyakula vya kukaanga na viungo vingi hasa mda wa jioni.
Uwe una kula kwa muda, hasa chakula cha jioni. Namaanisha ule mapema jioni.
Tumia mtoo wakati wa kulala. 'Elevate' kichwa vya kutosha(ila angalia usiumize shingo na mgongo). Hiyo itasaidia kuzuia 'reflux'.
Nawasilisha mawazo yangu
Weka kiswahili inawezekana tunao hatujuiJamani mm ninashida ya huu ugonjwa naomba msaada was mawazo na ushauri ili niweze kurelux nao maana naona Hali yangu sio nzuri.
Eleza tu kwasababu sote tuna tumia izo dawaWe ni me au ke na ushawahi tumia hizo dawa. Nijibu halafu nikueleze kitu kwa experience
KiunguliaNdiyo ugonjwa gani tena
Yaani acid inapanda juu kutoka tumboni hadi muda mwingine inafika kwenye koromeo, inapandaje ndio kuna sababu nyingi, inatoka wapi pia kuna sababu nyingi,Ndiyo ugonjwa gani tena
You Nailed it bro..Kuna aina za dawa zinajulikana kama PPI mfano omeprazole, lansoprazole, pantoprazole, rabeprazole au zinginezo, ushawai tumia hizo?
Zinasaidia sana kama unatumia kwa muda unaotakiwa. Pia hazina madhara kwa matumizi ya muda mrefu (kwa ninavyofahamu).
Tumia aina ya vyakula ambavyo havina acid (au havisababishi ongezeko la acidity tumboni). Mfano epuka vyakula vya kukaanga na viungo vingi hasa mda wa jioni.
Uwe una kula kwa muda, hasa chakula cha jioni. Namaanisha ule mapema jioni.
Tumia mtoo wakati wa kulala. 'Elevate' kichwa vya kutosha(ila angalia usiumize shingo na mgongo). Hiyo itasaidia kuzuia 'reflux'.
Nawasilisha mawazo yangu
Yaani acid inapanda juu kutoka tumboni hadi muda mwingine inafika kwenye koromeo, inapandaje ndio kuna sababu nyingi, inatoka wapi pia kuna sababu nyingi,
Alaaaah ushamba mzigoKiungulia