Yes Yes Yo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 232
- 99
Ni kozi ipi nzuri kati ya hizi ni nzuri na ni marketable kwenye ulimwengu wa IT :
C I EH = Certified Ethical Hacker
CISM = Certified Information Security Manager
CISA = Certified Information System Audit
CISSP = Certified Information System Security Proffesional
Asanteni kwa ushauri mtaochangia.
Asante kwa majibu.lakini kama unataka kujiajili Soma CIEH. hii itkuweka kuwa strong sana kwenye IT.
CISA ukiifaulu na ukapata cheti yaani kwa mkwanja hata mtu mwenye CPA hakugusi