bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,741
Hakuna raha kama kukosa siti kwenye gari alafu ubanane na dada mkali aliejaaliwa mzigo unaotingishika mana wanatusogezea makusudi huku wanajifanya wanaminya simu sasa na sisi tumeamua kufanya kusudi kama mnavotaka dadazetu yani sasa ni tit for tat