Wenye utaalamu na ujenzi please help

Wenye utaalamu na ujenzi please help

isley

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
48
Reaction score
83
Nimefikia hapo,

Nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na kipi.

Ningepata hata na gharama ningepata picha zaidi.

Msaada please.

IMG-20210324-WA0005.jpg
 
Vyote vinaendana.
Unafanya kwa pamoja.
Kama pesa ni ya kudunduliza fanya kimoja kimoja kulingana na gharama.

Gharama inategemea na ulipo.
Hapa nachimbia ft 10 kwa 15,000
Pengine ni 100,000.
Gharama hazifanani.

Hongera
 
weka mfumo wa bomba za maji na umeme (sio wiring, wiring baadae sana ), chimba na shimo la choo vyote ivyo vinaenda kwa pamoja
 
Nimefikia hapo, nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na kipi.. ningepata hata na gharama ningepata picha zaidi.. msaada plZ.

View attachment 1759527
Wiring na plumbing. Afadhali utengeneze septic tank ndogo kuliko kuchimba shimo la choo (unamaanisha nini shimo la choo?) mkuu jitahidi ukiweza usiwe unajisaidia kwenye choo cha shimo but maamuzi ni yako.
 
Asante kwa mawazo ila sikumaanisha choo Cha shimo ni lugha tuu labda haijawa nzuri
 
Vyote vinaendana.
Unafanya kwa pamoja.
Kama pesa ni ya kudunduliza fanya kimoja kimoja kulingana na gharama.

Gharama inategemea na ulipo.
Hapa nachimbia ft 10 kwa 15,000
Pengine ni 100,000.
Gharama hazifanani.

Hongera
Asante mkuu
 
Nimefikia hapo,

Nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na kipi.

Ningepata hata na gharama ningepata picha zaidi.

Msaada please.

View attachment 1759527

Mkuu kwanza hongera kwa mapambano had kufikia hapo,
Najua si rahisi na uligombezwa kwa sababu ulibadilisha utaratibu na ratiba ya uvaaji na ulaji wa familia na hii ndo chachu ya kufikia hapo.

Kama pesa ipo au haipo utaenda hivi-

1-Chimbia main swicth na bomba za umeme-POZI
2-Chimbia mfumo wa maji safi na taka wa kabla ya plasta-POZI
3-Fanya brandering/au mkanda wa brandering -POZI
4-Piga plaster nje au ndani au kote-POZI
5-Funga gypsum na pvc board-POZI
6-Skim nyumba yote-POZI
7-Tandika tiles-POZI
8-Piga rangi-POZI
9-Fanya wiring -POZI
10-Malizia mfumo wa maji wa baada ya plasta na tiles -POZI.
HAMIA NA POZI HUMO KWA FURAHA

NOTA BENNE. (NB)
Jumuia yetu ya UVIMO inayo uwezo wa kutekeleza yote hayo kwa awam au kwa mkupuo.

Natumia fursa hii kuomba kazi mkuu nikiwa mwenyekiti na mdhamini mkuu wa UVIMO.

Mawasiliano.
0753927572- Wasap
0629361896 -Kupiga
0753961896 -Kupiga

Regards,
Frabel
For UVIMO

View attachment 1760538View attachment 1760539View attachment 1760541View attachment 1760540
IMG-20210422-WA0007.jpg
View attachment 1760543View attachment 1760542
View attachment 1792298
 
Back
Top Bottom