Wiring na plumbing. Afadhali utengeneze septic tank ndogo kuliko kuchimba shimo la choo (unamaanisha nini shimo la choo?) mkuu jitahidi ukiweza usiwe unajisaidia kwenye choo cha shimo but maamuzi ni yako.Nimefikia hapo, nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na kipi.. ningepata hata na gharama ningepata picha zaidi.. msaada plZ.
View attachment 1759527
Asante kwa mawazo ila sikumaanisha choo Cha shimo ni lugha tuu labda haijawa nzuriWiring na plumbing. Afadhali utengeneze septic tank ndogo kuliko kuchimba shimo la choo (unamaanisha nini shimo la choo?) mkuu jitahidi ukiweza usiwe unajisaidia kwenye choo cha shimo but maamuzi ni yako.
Nimefikia hapo,
Nataka nijichange tena bado wiring, shimo la choo, kuweka mifumo ya maji , na vingine ambayo bado vinaonekana hapo.. naomba kujua kipi kinaanza Kati ya hivyo na nimalizie na kipi.
Ningepata hata na gharama ningepata picha zaidi.
Msaada please.
View attachment 1759527