Wenye uzoefu Bima ya afya ya Vodacom

Wenye uzoefu Bima ya afya ya Vodacom

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Wenye uzoefu tunaomba mwongozo
Naona wako cheap
January hii bima ya afya muhimu wadau
Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
 
Hizi bima zao si ni kwa ajili ya fidia ya kuugua na kulazwa, sio kwa ajili ya matibabu
 
Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simu😅😅😅😅😅
 
Kwanza Agakhan waliikataa , ngoja wengine waongeze
 
Back
Top Bottom