Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Eeeh yaani ukiumwa unalipwa wewe na sio kulipiwa matibabu??Hizi bima zao si ni kwa ajili ya fidia ya kuugua na kulazwa, sio kwa ajili ya matibabu
Bima ya elfu 70 ukatibiwe aga khan kweli??Kwanza Agakhan waliikataa , ngoja wengine waongeze
Watoto wa 2000 mihemko.aloweka hyo bima unadhani Hana akili?Mimi ni mtoto wa elfu mbili ila hakuna binadamu mwenye akili timamu unaweza kujiunga na bima ya afya ya mtandao wa simuπ π π π π
FATA KANUNI ULIZA MAMLAKA HUSIKA.............Wenye uzoefu tunaomba mwongozo
Naona wako cheap
January hii bima ya afya muhimu wadau
Watoto wa kiume WA 2000 naomba msije hapa.
Pita hiviFATA KANUNI ULIZA MAMLAKA HUSIKA.............