G
hakika, Wanakatavi wakae chonjoNeno kuu ...KATAVI...anaesikia na asikie
Kwamba?hakika, wanakatavi wakae chonjo
Hongera sana mkuuAliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
mtego huoKwamba?
Kwamba walima mahindi huko katavi wanaenda pasuka?mtego huo
Shida ya kuhifadhi mahindi ni wadudu wabunguaji na kupata dawa ya kuwazuwia kipindi hiki cha dawa fake ni mtihaniAliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,
mtu gani anaenda kuanza hana mtu wala uzoefuKwamba walima mahindi huko katavi wanaenda pasuka?
*Gunia,siyo junia,mangosha tuna tabu sana na kiswahiliHongera sana mkuu
Walimaji wa Mahindi wa Kati, tunalima Ikunzi - Runzewe Geita, tunategemea kuvuna mwezi wa tatu mwishoni, tuna expect junia 200 za mahindi.
Katamani tu biashara ila hajui aanzie wapi,wa hivi ni wengi tu hata kwenye kilimomtu gani anaenda kuanza hana mtu wala uzoefu
Si atamkuta huko huko katavi bwasheemtu gani anaenda kuanza hana mtu wala uzoefu
atleast angekuwa mfanyabiashara mzoefu then katavi anaomba mtu tu wa kufikia na kumsaidia kumwonyesha mazingiraKwamba walima mahindi huko katavi wanaenda pasuka?
sawa inawezekana lakiniSi atamkuta huko huko katavi bwashee
Kaka inaweza kuwa kweli aseee na ukizingatia ni mwanamke wa methali tena 🤔 inawezekana ni methali zakimitego kweli 😅atleast angekuwa mfanyabiashara mzoefu then katavi anaomba mtu tu wa kufikia na kumsaidia kumwonyesha mazingira
hyo ya kujifanya si mzoefu ni ili anayempokea aone ni mtu asiyejua lolote, kumbe mpokeaji ndo atajua hajui lolote trust me mzee wa tungi.
kunywa bia hata 3 then pitia huu uzi kwa jicho lenye castle lite utagundua hilo
Asante boss kwa kunisahihisha.*Gunia,siyo junia,mangosha tuna tabu sana na kiswahili
ugenini lazima uwe na uzoefu hata kidogo, kwenye kilimo yes ila biashara hapana nakataaKatamani tu biashara ila hajui aanzie wapi,wa hivi ni wengi tu hata kwenye kilimo
Kwa uzoefu wangu, wanasemaga MAHINDI ya IRINGA ni Mazuri tofauti na sehemu zingine.Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,